Kuweka vigae ukuta na sakafu ya jikoni
Be the first to apply. No one has sent a proposal yet, so yours gets seen first.
Why take this job
You earn TZS 10,000 for assessing the site
Released per milestone once the client confirms the work
About the job
Nataka kuweka vigae jikoni, kwenye ukuta na sakafu. Jiko lina ukubwa wa takriban mita 3 kwa 4. Nina picha za jiko ambazo naweza kumtumia fundi. Kazi ya kufanya: - Kukagua na kupima jiko kabla ya kuanza kazi - Kuondoa vigae vya zamani au uchafu kama vipo - Kusawazisha sakafu na ukuta ili viwe sawa kabla ya kuweka vigae - Kupanga mpangilio wa vigae ili vikae sawa na kupunguza ukataji - Kuweka vigae sakafuni kwa gundi ya vigae au saruji - Kuweka vigae ukutani - Kukata vigae vizuri kuzunguka soketi, mabomba, sinki na pembe - Kujaza nafasi kati ya vigae (grout) na kusafisha baada ya kazi Vifaa: Tutakubaliana na fundi. Ninachohitaji kutoka kwako: - Bei kwa mchanganuo (ufundi na vifaa kama utaleta) - Muda utakaochukua kumaliza kazi - Picha za kazi za vigae ulizowahi kufanya - Kiasi cha vigae na vifaa vingine unachokadiria kitahitajika